PS.23, Chp.1, Vrs 1
Jah ndiye mchungaji sitataka... Tumpe shukrani Jah Rastafari kwa ukombozi na motisha yake ya upendo wa milele, baraka, kinga, kwa nguvu na kutuchagua sisi tuwe katika uinuaji wa ubinadamu kupitia nyimbo za roots rock reggae. Shukrani kwa mashujaa Bob marley na Wailers, Peter Tosh, Alpha Blondy, Burningspear, Israel Vabration, Morgan Heritage Family na wengine kwa kutuelimisha, busara inayotuweka juu kama maji ya mi na mi na kama mwangaza ya usoni kwa madungu na madada wa nchi. Tunawapa shukrani kwa marafiki wote wa kale, sasa na usoni kwa usaidizi wao kila mara kwa kazi ya Jah. Shukrani waimbaji madungu na madada kwa kueneza nyimbo za Jah kwa nguvu zao dabal-moja na nyoyo zao. Motisha mingi.
JAH AWABARIKI...!!!!RASTAFARI...!!!!...